Uchumi Festival 2026

UCHUMI FESTIVAL2026

Tamasha kubwa la kutambua, kusherehekea na kutuza wajasiriamali bora nchini Tanzania. Tukio hili linaandaliwa na Great Team Event Planner.

TAARIFA MUHIMU

Kuhusu Uchumi Festival - Njombe 2026

Tarehe

Itatangazwa Hivi Karibuni

Mahali

Itatangazwa Hivi Karibuni

Washiriki

Wajasiriamali/Wafanyabiashara na wamiliki wa Makampuni

Tuzo

Vipengele 24 vya Tuzo

Lengo la Uchumi Festival

Uchumi Festival ni jukwaa la kutambua mchango wa wajasiriamali katika kukuza uchumi wa Tanzania. Tamasha hili linalenga kuwaenzi wafanyabiashara wadogo na wakubwa ambao wameonyesha ubunifu, uvumilivu na mafanikio katika biashara zao. Kupitia tuzo hizi, tunalenga kuhamasisha watu wengi zaidi kujishughulisha na ujasiriamali na kuchangia katika maendeleo ya taifa.

TUZO

Vipengele vya Tuzo

1MC Bora
2Mpiga Picha Bora
3Saloon Bora Kike
4Saloon Bora ya Kiume
5Mtangazaji Bora Redio
6Radio Bora Mkoa
7Kampuni Bora Usafirishaji (Bus)
8Graphic Designer Bora
9Mpambaji Bora Ukumbi
10Mpishi Bora wa Keki
11Mkulima Bora
12Dalali Bora
13Brand Influencer Bora
14Kundi Bora la Dancers (Maids and Grooms)
15Mpishi wa Chakula Kwenye Sherehe
16DJ Bora Mkoa
17Content Creator Bora
18Mfugaji Bora
19Online Media Bora
20Winga Bora
21Young CEO (U30yrs)
22Mfanyabiashara Bora
23Mjasiriamali Bora Anayekuja
24Mbunifu wa Mavazi Bora
USAJILI

Jaza Fomu ya Usajili

Dirisha la usajili wa Uchumi Festival 2026 - Njombe lipo wazi hadi Tar 26 June 2026.

Malipo haya yafanyike ndani ya Masaa 2 baada ya Kujaza Fomu hii kupitia M-Pesa namba 0766936724 Jina ni Betty Josephat Shonde

JINSI YA KUSHIRIKI

Hatua za Usajili

01

Pakua Fomu

Bonyeza kitufe cha kupakua fomu ya usajili hapo juu.

02

Jaza Fomu

Jaza taarifa zako zote kwa usahihi kwenye fomu iliyopakuliwa au jaza moja kwa moja kupitia tovuti.

03

Tuma Fomu

Tuma fomu iliyojazwa kupitia sehemu ya kupakia hapo chini.

Pakua Fomu

Pakua fomu ya usajili kwa muundo wa PDF.

Pakua Sasa

Tuma Fomu Iliyojazwa

Ambatanisha fomu uliyoijaza na uitume kwetu.

Mawasiliano

Kwa maelezo zaidi kuhusu Uchumi Festival 2026, wasiliana nasi:

+255 766 936 724 +255 767 237 062 info@greatteam.co.tz

Washiriki wote watachujwa na kisha kuingia kwenye mchakato wa kupigiwa kura na wananchi. Washindi watatangazwa siku ya tukio Husika